UTAFITI: Wanasayansi wawafufua Ngurue muda mchache baada ya kufa - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

UTAFITI: Wanasayansi wawafufua Ngurue muda mchache baada ya kufa

Wanasayansi nchini Marekani wamefanikiwa kufufua ubongo wa nguruwe kwa saa nne baada ya mnyama hayo kuchinjwa.

Japo uvumbuzi huo huenda ukazua mjadala kuhusu maana halisi ya tofauti kati ya uhai na kifo unafungua ukurasa mpya katika uchunguzi wa magonjwa kama vile Alzheimer.

Utafiti huu mpya umebaini kuwa baadhi ya sehemu ya ubongo inaweza kufufuliwa ikiwa seli za ubongo zianaweza kusitishwa kufa.

Matokeo ya utafiti huu wa kushangaza inakinzana madai kuwa ubongo huacha kufanya kazi dakika chache baada ya usambazaji wa damu mwilini kukatizwa.

Utafiti ulivyofanywa?

Kwa mujibu wa shirika la habari la BBC, Jumla ya ubongo 32 wa nguruwe uilitumiwa kwa utafiti huu. Saa nne baadae viungo hivyo vilirutubishwa kupitia mtambo maalum uliobuniwa na kundi la wanasayansi kutoka Chuo Kikuu Yale.

Mtambo huo ulitumiwa kuiga mapigo ya moyo na kuingiza mchanganyiko wa dawa ambayo pia imebeba oksijeni ili kupunguza au kugeuza kifo cha seli za ubongo.

Ubongo ulipewa muda wa saa sita ku... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More