Utafiti: Wasiwasi kutokana na kushuka kwa kiwango na ubora wa mbegu za kiume Ulaya na Marekani - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Utafiti: Wasiwasi kutokana na kushuka kwa kiwango na ubora wa mbegu za kiume Ulaya na Marekani

Utafiti umeonyesha kwamba mbegu za kiume zimekuwa zikidhoofika pakubwa kiasi kwamba zinashindwa kuogelea kwenye majimaji ya mwanamke zikielekea kufikia yai kutungisha mimba.


Source: BBC SwahiliRead More