utalii katika msitu wa Chome kilele cha mlima Shengena wilayani Same kutangazwa - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

utalii katika msitu wa Chome kilele cha mlima Shengena wilayani Same kutangazwa

Ni utalii katika msitu wa Chome hususan kilele cha mlima Shengena ambapo Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro imedhamiria kutangaza kivutio hiki ili kuongeza idadi ya watalii wanaotembelea eneo hilo. Mkuu wa Wilaya ya  Same Mhe. Rosemary Sitaki aliongoza wataalamu 23 toka ofisi za serikali Wilayani hapo wakiratibiwa na Wakala wa Misitu (TFS)  kupanda mlima Shengena wenye urefu wa Mita 2462 toka usawa wa bahari, ambacho ni kilele cha pili kwa urefu kufuatia Mlima Kilimanjaro.Mlima huo una vivutio  vingi vya miti, ndege, vipepeo,  nyani, mito na uoto wa asili ni raslimali kubwa. Ni eneo unaloona Mlima kilimanjaro kwa juu zaidi kuliko eneo jingine lolote, na linafaa kwa utalii, mazoezi ya kupanda mlima Kilimanjaro, kurekodi Sinema, hifadhi ya mazingira, uwekezaji, utafiti, vyanzo vya maji, camp site ambapo TFS wanafikiria kuweka "sky line"" Ni lazima tujipange kufanya vitu tofauti ili kuwafanya watalii kuchagua Shengena" alisema DC Sitaki, huku akiwaalika wananchi na wageni  kuja kujione... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More