Utamu wanoga BBall Kings - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Utamu wanoga BBall Kings

FLYING Dribblers imetinga fainali ya michuano ya Kikapu ya Sprite Bball Kings baada ya kuizidi kete Team Kiza kwa kuishinda mechi mbili za nusu fainali, huku watetezi Mchenga BBall Stars wakibanwa mbavu na Portland.


Source: MwanaspotiRead More