Utapenda alichokifanya msanii mchanga Yayah Prince kwenye wimbo wake ‘Chuchumaa’ - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Utapenda alichokifanya msanii mchanga Yayah Prince kwenye wimbo wake ‘Chuchumaa’

Msanii mpya wa muziki wa BongoFleva, Yayah Prince wiki hii ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Chuchumaa’. Muimbaji huyo ambaye anaonekana kuwa na uwezo mkubwa wa kuandika na kuimba, huwenda akaja kuwa tishio kwa siku za usoni kama aendelea kufanya hiki anachokifanya.The post Utapenda alichokifanya msanii mchanga Yayah Prince kwenye wimbo wake ‘Chuchumaa’ appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More