Utekaji watikisa, hofu yapanda - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Utekaji watikisa, hofu yapanda

MATUKIO ya utekaji, utesaji na hata kupotezwa yamekuwa yakitikisa nchi kwa sasa huku wananchi wakipiga yowe, yakomeshwe. Anaripoti Faki Sosi…(endelea). Hali hiyo imewaibua wazee wa Chama cha ACT- Wazalendo, wakiitaka serikali kuchukua hatua ikiwa ni pamoja na kukomesha matukio hayo. Wilson Mushumbusi, mwenyekiti wa wazee wa chama hicho akizungumza na wanahabari leo tarehe 7 Julai 2019, ...


Source: MwanahalisiRead More