UTEUZI WA KAIMU MKURUGENZI MTENDAJI MPYA WA BENKI YA BIASHARA YA TIB (TIB CORPORATE BANK LTD) - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

UTEUZI WA KAIMU MKURUGENZI MTENDAJI MPYA WA BENKI YA BIASHARA YA TIB (TIB CORPORATE BANK LTD)


TIB Corporate Bank Ltd (TIB CBL) ni Benki ya  biashara inayomilikiwa na Serikali. Benki inatoa huduma zote za kibenki za kibishara kwa  mashirika na taasisi za aina mbalimbali za serikali na binafsi ,pia benki inatoa huduma kwa watu binafsi. Benki ina matawi 7 kwa sasa,  Dar es salaam (3), Mwanza , Arusha, Mbeya na Dodoma.Kwa mamlaka iliyopewa Benki kuu imechukua uamuzi wa kusitisha uteuzi wa Bw. Frank Nyabundege kuanzia tarehe 13 Julai 2019, kufuatia usitishwaji huo imemteua Bw. Fred Luvanda kuwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji. Benki kuu ilichukua uamuzi huo chini ya mamlaka iliyopewa kwa mujibu wa kifungu cha sheria namba 33(1) na 33(2)(f)  pamoja na 33 (2)(b)cha sheria ya Mabenki na Taasisi za fedha ya mwaka 2006.Ndugu waandishi wa habari, mkiwa na kazi kubwa ya kuhabarisha umma tunaomba muweze kutoa taarifa sahihi kuwa Benki ya TIB Corporate haiko chini ya usimamizi wa mabenki bali ni mabadiliko ya uongozi wa juu tu.              (Aliyeondolewa ni Mkurugenzi Mtendaji). Ben... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More