UTIAJI SAINI MKATABA WA MGAWANYO WA UZALISHAJI WA MAFUTA NA GESI ASILIA (PSA) ZANZIBAR - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

UTIAJI SAINI MKATABA WA MGAWANYO WA UZALISHAJI WA MAFUTA NA GESI ASILIA (PSA) ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na mgeni wake Mtawala wa Ras Al Khaimah Shaikh   Saud bin Saqr  Al  Qasimi wakati alipofanya ziara ya kuitembela Zanzibar mara alipofika katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar  kushuhudia utiaji wa saini mkataba wa mgawanyo wa uzalishaji wa mafuta na Gesi asilia(PSA) baina ya Serikali ya Mapinduzi na RakgasMkurugenzi mtendaji wa  Kampuni ya Rakgas L.L.C ya Ras Al Khaimah Bw.Kamal Mohamed Ataya(kulia) Waziri wa Ardhi,Maji,Nishati na Makazi Mhe.Salama Aboud Talib (katikati) Mkurugenzi Katika Kampuni ya Maendeleo ya Mafuta Zanzibar (ZPDC)Nd,Mwanamkaa Abdulrahman Mohamed wakitia saini mkataba wa mgawanyo wa uzalishaji wa mafuta na Gesi asilia(PSA) baina ya Serikali ya Mapinduzi na Rakgas sherehe iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar leo. Picha na IKULU... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More