Uturuki inasema Jamal Khashoggi 'aliuawa' alipoingia ubalozi wa Saudi Arabia nchini Uturuki - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Uturuki inasema Jamal Khashoggi 'aliuawa' alipoingia ubalozi wa Saudi Arabia nchini Uturuki

Siku ya Jumanne alikuwa kwenye ubalozi kupata stakabadhi za kumtaliki mke wake wa zamani ili apate kufungua ndoa na mchumba wake raia wa Uturuki Hatice Cengiz.


Source: BBC SwahiliRead More