UVCCM wabadili gia kwa Lowassa - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

UVCCM wabadili gia kwa Lowassa

KEJELI na maneno ya dhihaka yaliyovurumishwa na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kwa Edward Lowassa wakati akihamia Chadema, sasa yamebadilika. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Leo tarehe 11 Machi 2019, UVCCM imetaka watu wanaomsema Lowassa kwa madhambi yake kwamba, waeleza kama nao hawajachafuka ama hawana dhambi. “… waeleze kama wao hawana dhambi. Kheri James, Mwenyekiti ...


Source: MwanahalisiRead More