Uvivu wa Vijana wa Kiume Mkoani Rukwa wamkasirisha RC Wangabo - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Uvivu wa Vijana wa Kiume Mkoani Rukwa wamkasirisha RC Wangabo


Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo (mbele) akikagua ujenzi wa jengo la Wazazi katika hospitali mpya ya wilaya ya Nkasi Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo (wa pili toka kulia) akiongea mawili amatatu na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Mh. Said Mtanda (kulia) wakati wakiendelea na ukaguzi wa ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya Nkasi. 
************************************* 


Mkuu wa mkoa wa Rukwa mh. Joachim Wangabo amesikitishwa na uvivu wa kutofanya kazi kwa vijana wa kiume katika mkoa hali inayopelekea miradi mingi inayotekelezwa na serikali katika mkoa huo kwa kutumia force account inafanywa na vijana wanaotoka nje ya mkoa huo jambo ambalo sio madhumuni ya serikali ya awamu tano. 
Amesema kuwa lengo la ujenzi kwa kutumia force account ni kuhakikisha kwamba wananchi wa maeneo husika wanapata manufaa ya ujenzi ule na kufanya ujenzi huo kuwa ni wa kwao na kujivunia kwamba walishiriki tangu mwanzo wa uje... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More