Uwanja wa Nangwanda Sijaona wafungwa kupisha ukarabati - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Uwanja wa Nangwanda Sijaona wafungwa kupisha ukarabati

Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Mtwara kimeufunga kwa muda Uwanja wa Nangwanda Sijaona unaomilikiwa na chama hicho ili kufanyiwa ukarabati kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara.


Source: MwanaspotiRead More