Uwezo wa kujisajili na ofa za chuo - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Uwezo wa kujisajili na ofa za chuo

Gharama za mawasiliano ni nafuu lakini zinakuwa ni rahisi zaidi iwapo unakuwa unatumia kadi ya simu iliyounganishwa kupata huduma za kipekee (tofauti na nyningine) au kwa lugha iliyozoeleka “Laini za chuo” ambazo huwa zinakuwa zina vifurushi vinavyolenga kumrahishia mawasiliano huyu anayeitumia lakini hasa mwanafunzi. Mimi ni mtu ambae napenda watu waweze kupata huduma bila ya [...]


The post Uwezo wa kujisajili na ofa za chuo appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More