“Uwoya Chaguo Lake Lilikuwa Ndikumana Sio Dogo Janja”-H.Baba - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

“Uwoya Chaguo Lake Lilikuwa Ndikumana Sio Dogo Janja”-H.Baba

Msanii wa muziki wa Dansi nchini Hamisa Ramadhan maarufu kama H. Baba ameibuka na kutoa Nemo kuhusu mahusiano ya msanii wa Bongo fleva Dogo Janja na Alice Kuwa mke wake msanii wa Bongo movie Wema Sepetu.


H. Baba ambaye aliwahi kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Uwoya miaka ya nyuma amedai Dogo Janja hakuwa type ya Uwoya Baya kidogo kwani yeye huwa anapendelea wanaume aina ya Marehemu mumewe Ndikumana.


Kwenye mahojiano na Global Publishers, H. Baba alifunguka kuwa Dogo Janja na Uwoya  wasingeweza kudumu kwenye ndoa kwa sababu mwanamama huyo chaguo lake lilikuwa ni Ndikumana pia anapenda wanaume warefu wenye nguvu na miili ya mazoezi.Unajua Uwoya chaguo lake lilikuwa ni Ndikumana ila Mungu alimpenda zaidi, kwa Janjaro sidhani kama atamuweza maana Uwoya anapenda wanaume warefu wenye nguvu na miili ya mazoezi.Lakini pia H. Baba amemshauri Dogo Janja akomae kumuomba msamaha mrembo huyo kwani no mke wake halali wa ndoa:Uwoya angenitema kama Dogo Janja ningeumia sana yaani ningean... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More