UWT MANISPAA YA IRINGA WANAWAKE KOPENI KWA MALENGO - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

UWT MANISPAA YA IRINGA WANAWAKE KOPENI KWA MALENGO

Mwenyekiti wa umoja wa wanawake manispaa ya Iringa (UWT) Ashura Jongo akizungumza wakati wa baraza la UWT manispaa ya Iringa akiwaasa wanawake kukopa kwa malengo Mwenyekiti wa CCM manispaa ya Iringa Said Rubeya akitoa neno kwa wanawake wa UWT manispaa ya Iringa. NA FREDY MGUNDA,IRINGA.
Kukosekana kwa elimu ya matumizi bora ya mikopo kwa wanawake kumetajwa kuwa sababu ya wanawake wengi wa manispaa ya Iringa kushindwa kurudisha mikopo katika taasisi za kifedha.
Akizungumza kwenye baraza la UWT manispaa ya Iringa,mwenyekiti wa umoja huo Ashura Jongo amesema kuwa wananwake wamekuwa wanakopa bila ya kuwa na elimu ndio maana wanashindwa kurejesha mikopo ambayo wamekopa kwenye taasisi za kifedha.
“Changamoto za wanawake kutokuaminika katika vyombo au taasisi za kifedha ni kutokana na hali ngumu,wanawake wanaweza wakakopa wakiwa na malengo lakini wakirudi nyumbani wanakutana na matatizo mengi yanahitaji matumizi ya fedha” aliema Jongo
Jongo alisema kuwa wanawake wanatakiwa kuendelea kuwaweze... Continue reading ->Source: KajunasonRead More