Uzi mpya Simba moto, yatua Bongo kibabe - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Uzi mpya Simba moto, yatua Bongo kibabe

KIKOSI cha Simba kimerejea nchini usiku wa kuamkia jana Jumatatu wakitokea Uturuki na mchana wake mabosi wa klabu hiyo watautambulisha uzi mpya ambao utatumiwa na timu hiyo katika mechi zake za msimu wa 2018-2019.


Source: MwanaspotiRead More