Uzinduzi wa duka la jipya la Vodacom mkoani Arusha - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

Uzinduzi wa duka la jipya la Vodacom mkoani Arusha

Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo (kulia) na Mkuu wa mauzo wa  Vodacom Kanda ya Kaskazini, Brigita Stephen wakizindua duka la Vodacom litakalowahudumia wateja eneo la Kwamrombo jijini Arusha, wa tatu kushoto ni mdau wa Vodacom Bakari Fungo.

Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo (kulia), Mkuu wa mauzo wa Vodacom Kanda ya Kaskazini, Brigita Stephen (wa pili kulia), mdau wa Vodacom Bakari Fungo na mkewe wakifurahi baada ya kuzindua duka la Vodacom litakalowahudumia wateja eneo la Kwamrombo jijini Arusha.

 Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo (katikati) akimsikiliza Mkuu Vodacom Kanda ya Kaskazini, Brigita Stephen (kushoto) wakati wa uzinduzi wa duka la Vodacom eneo la Kwamrombo jijini Arusha, kulia ni mdau wa Vodacom Bakari Fungo.

 Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrish... Continue reading ->

Source: Mwanaharakati MzalendoRead More