UZINDUZI WA MAONESHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI-CHAMANANGWE KASKAZINI PEMBA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

UZINDUZI WA MAONESHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI-CHAMANANGWE KASKAZINI PEMBA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliyofanyika leo katika kijiji cha  Chamanangwe Wilaya ya Wete Mkoa  wa Kaskazini Pemba (kulia) Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Rashid Ali Juma Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe za uzinduzi wa maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliyofanyika leo katika kijiji cha  Chamanangwe Wilaya ya Wete Mkoa  wa Kaskazini Pemba Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) alipokuwa akimkabidhi zana za Kilimo kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wakulima Bw.Hamad Othman Sheik wa Koowe  katika sherehe za maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliyofanyika leo katika kijiji cha  Chamanangwe Wilaya ya Wete Mkoa  wa Kaskazini Pemba Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More