UZINDUZI WA MFUKO WA AFYA YA JAMII ULIOBORESHWA (iCHF) MKOA WA SONGWE - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

UZINDUZI WA MFUKO WA AFYA YA JAMII ULIOBORESHWA (iCHF) MKOA WA SONGWE

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. (Mst) Nicodemus Mwangela akizungumza na wadau mbalimbali walioshiriki uzinduzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii ulioboreshwa.Wadau mbalimbali walioshiriki uzinduzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii ulioboreshwa wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. (Mst) Nicodemus Mwangela (hayupo pichani).
Mkoa wa Songwe umekuwa ukiongoza kitaifa hadi kufikia Desemba 2018 kwa kuwa na asilimia 76.4 ya kaya zilizojiunga na Mfuko wa Afya ya jamii uliopita (CHF) yaani kaya 198,376- Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. (Mst) Nicodemus Mwangela
Mafanikio hayo sharti yalindwe kwa kila mmoja kutimiza wajibu wake ili pia tuongoze kitaifa katika Mfuko wa Afya ya Jamii ulioboreshwa (iCHF) - Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. (Mst) Nicodemus Mwangela
CHF iliyoboreshwa itakuwa na gharama juu kidogo yaani shilingi elfu 30 kwa kaya, tofauti na shilingi elfu 10 kwa kaya kwa mfuko uliopita, gharama hii bado itakuwa ni ndogo ukilinganisha na faida atakazopata mnufaika wa bima hii iliyoboreshwa -... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More