UZINDUZI WA PASIPOTI YA KIELEKTRONIKI MKOA WA KAGERA WAFANA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

UZINDUZI WA PASIPOTI YA KIELEKTRONIKI MKOA WA KAGERA WAFANA

Na Abdullatif Yunus wa  Globu ya Jamii, KageraOfisi ya Mkuu wa Mkoa  wa Kagera kupitia Jeshi la Uhamiaji Mkoa wa Kagera imezindua rasmi pasipoti ya kielektroniki kwa wananchi na wakazi wa Mkoa huo. Tayari pasipoti hizo zimeanza kutolewa tarehe Junin7, 2018 katika hafla  iliyohudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwemo wakuu wa wilaya, maafisa kutoka jeshi la Uhamiaji, viongozi wa dini, wananchi na wadau wa Idara ya Uhamiaji katika viwanja vya Uhuru platform maarufu kwa Mayunga mjini Bukoba.Katika hotuba yake Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu iliyotolewa na mwakilishi wake Mkuu wa wilaya ya Bukoba, Mh. Deodatus Kinawiro, amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kuchangamkia huduma hii ya pasipoti huku akitaja faida lukuki za kuwa na pasipoti ya aina hii. miongoni mwa faida hizo ni pamoja na kukidhi matakwa ya usalama wa Nchi, na pia kukidhi viwango vinavyopendekezwa na shirika la Umoja wa Mataifa linalosimamia mambo ya anga.Kwa mujibu wa idara ya Uhamiaji... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More