Vazi la Kiatu kirefu Kwa Wanawake - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Vazi la Kiatu kirefu Kwa Wanawake

Wadada wengi  huvaa sana na kujali sana muonekano wa juu zaidi kuliko kuangalia nini anataka kuvaa chini kama kinaendana na kile anachovaa juu.


wataalamu wanashauri kuwa kwa mwanamke mwenye  mguu mnene  ni bora kuvaa kiatu ambacho hakina kifundo ili kisigawe mguu wake juu na chini na kuleta picha mbaya ya mguu.Ni bora kuvaa kiatu chenye ncha mbele na uwazi ili kuleta muonekano mzuri zaidi. 


Lakini pia kwa uchaguzi wa viatu angalia rangi ambayo haitakuwa inan’gaa sana katika miguu yako, jaribu sana kuvaa rangi zinazoendana na ngozi ya mwili wako na si vinginevyo.


kwa wanawake wenye miguu mirefu  ni vizuri kuvaa kiatu che kifundo inapendeza zaidi, lakini pia kiatu kiref cha kamba kinakuwa na muonekano mzuroi wa watu wa aina hii.kwa wenye miguu miembamba, anashauri sana kuvaa kiatu chenye wedges ili kufanya miguu yako kujaa  na kuonekana imependeza katika kiatu husika.kwa  wenye miguu mifupi,  vaa kiatu kifefu cha kuchongoka mbele na pia kiwe na uwazi kwa nyuma au mi... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More