Vera Sidika Aanika Mambo Ya Chumbani Waliyofanya na Ex Wake Otile Brown - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Vera Sidika Aanika Mambo Ya Chumbani Waliyofanya na Ex Wake Otile Brown

Socualite na msanii wa muziki kutoka Kenya Vera Sidika ‘Queen Vee’ ameingia kwenye headlines tena na Ex boyfriend wake Msanii Otile Brown Baada ya kuanika mambo yao nyeti ya chumbani.


Sakata hilo lilitokea mwanzoni mwa Wiki hii Baada ya Vera na Otile walioachana mwezi uliopita kutibuana tena kwenye social media ambapo Brown alimtuhumu Vera kwa kupenda sana ngono walipokuwa kwenye mahusiano yao.


Baada ya tuhuma hizo Vera alimjia juu Otile na kumtuhumu kuwa hajui mapenzi na kipindi cha mahusiano yao alikuwa hata hamridhishi walipokuwa kitandani.


Kwenye ukurasa wake a instagram kupitia Instastory Vera aliaanika screenshoot zote za meseji zao walizokuwa wanachat ambapo alimlalamikia kutomridhisha na baadhi ya chats kusomeka:Nakwambia sipendi kufanya mapenzi mara kwa mara, mimi napendelea Romance unitomase kifuani na kuninyonya shingoni na sehemu nyeti. Kiukweli napenda romance kuliko kufanya mapenzi mara kwa mara kwani nakosa hisia unaniumiza, unaponiingilia bila kuniandaa”.Lakin... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More