Vibe la Tigo Fiesta lapagawisha Sumbawanga - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Vibe la Tigo Fiesta lapagawisha Sumbawanga


Msanii Barnaba akionesha umahiri wake kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta Vibe Kama Lote yake lililofanyika jana kwenye uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga. Burudani ikiendelea
Msanii wa Bongo Fleva Ben Pol akiwa kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta Vibe Kama Lote kwa kuwashirikisha wakazi wa Sumbawanga kama kionjo cha shoo yake iliyofanyika jana kwenye uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga Wakazi wa manispaa ya Sumbawanga na vitongoji vyake usiku wa kuamkia leo walipata burudani ya aina yake ya msimu wa tamasha kubwa nchini la Tigo Fiesta Vibe Kama Lote.

Hili ni tamasha la pili kwa mkoa huo baada ya ufunguzi uliofanyika mkoa wa Morogoro.

Msimu huu si kwa burudani tu, bali huwa na fursa mbalimbali kwa wafanyabiasha na waendesha bodaboda.Kwenye steji ndio kunaacha gumzo kwa wakazi wa miji mbalimbali ambapo tamasha linafanyika.Akifungua pazia la tamasha hili msanii Nedy Music alianza kuwapasha joto mashabiki akifuatiwa na msanii WhoZu ambaye aliwapagawisha kwa kibao... Continue reading ->
Source: Mwanaharakati MzalendoRead More