Vicky Kamata Awashauri Wasanii wa Kike Kujitafakari na Matumizi Mabaya ya Vitu Bandia - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Vicky Kamata Awashauri Wasanii wa Kike Kujitafakari na Matumizi Mabaya ya Vitu Bandia

Mwanamuziki wa zamani ambae pia amekuwa mbunge wa viti maarum kwa muda mrefu Vicky Kamata amefunguka na kuwashauri sana wasichana hasa wasanii kwa tabia zao za kupenda kutumia vitu bandia katika miili yao na kuangalia athari watakazozipata hapo baadae.


Mwanadada huyo amesema kuwa wasanii wa kike inabidi waangalie na kujitafakari sana kuhusu matumiz ya vitu  bandia na kujua athari zake za hapo baadae kwa sababu vimekuwa na madhara sana ingawa hayaonekani kwa wakati huo.


Vicky anasema kuwa vitu hivyo vimekuwa namaradhi sana ingawa inawezekana matatizo hayo yamekuwa hayawekwi wazi mara kwa mara.


 


The post Vicky Kamata Awashauri Wasanii wa Kike Kujitafakari na Matumizi Mabaya ya Vitu Bandia appeared first on Ghafla!Tanzania.


Source: Ghafla TZRead More