VICTOR WANYAMA ALIPOMTEMBELEA YUSSUF BAKHRESA JANA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

VICTOR WANYAMA ALIPOMTEMBELEA YUSSUF BAKHRESA JANA

Mkurugenzi wa Azam FC na Azam TV, Yussuf Bakhresa (kushoto) akiwa na wageni wake, kiungo Mkenya wa Tottenham Hotspur ya England, Victor Wanyama (katikati) na chipukizi wa Tanzania, Shaaban Iddi Chilunda wa Azam FC (kulia) nyumbani kwake, Mikocheni, Dar es Salaam jana
Hii inakuwa mara ya pili mfululizo Victor Wanyama anamtembelea Yussuf Bakhresa katika kipindi cha mapumziko ya baada ya msimu... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More