Video 20 za Muziki Tanzania zilizoangaliwa na kuingiza mtonyo mwingi zaidi YouTube mwaka 2018 - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Video 20 za Muziki Tanzania zilizoangaliwa na kuingiza mtonyo mwingi zaidi YouTube mwaka 2018

Wakati tunaelekea kufunga mwaka 2018 kuelekea mwaka 2019, Mtandao wa Bongo5 umekuandalia list ya video 20 za muziki Tanzania zilizoangaliwa zaidi kupitia mtandao wa YouTube. List hii imepatikana kwa msaada mkubwa na mtandao wa dbase ambao ni mahususi kwa kutoa taarifa na takwimu za video zilizopakiwa kupitia mtandao wa YouTube.


 


1. Harmonize Ft Diamond Platnumz – Kwangwaru


33,172,619 view
2. DIAMOND PLATNUMZ ft OMARION – African Beauty
27,245,441 views
3. Diamond Platnumz Ft Rayvanny – Iyena
12,184,819 views
4. Wcb wasafi ft Diamond Platnumz & Mbosso & Lavalava – JIBEBE (Official Video)


9,126,633 views
5. Navy Kenzo feat. Diamond Platnumz – Katika
7,443,033 views
6. Diamond Platnumz ft Miri Ben-Ari – Baila (Official Music Video)
6,689,742 views
7. Aslay X Nandy – Subalkheri Mpenzi (Official video)
6,671,732 views
8.  Nandy – Ninogeshe (Official music video)

6,311,454 views
9. Mbosso – Nadekezwa (Official Music Video)
6,150,254 views
 


10. Harmonize ... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More