VIDEO: Ajibu noma sana! - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

VIDEO: Ajibu noma sana!

IBRAHIM Ajibu amehusika na mabao nane kati ya 11 ya Yanga, lakini bao alilofunga jana dhidi ya Mbao FC lilikuwa la aina yake kwani limefuata mabao makali yaliyowahi kufungwa na nyota mbalimbali wa kimataifa akiwamo Wayne Rooney, Zlatan Ibrahimovic na Cristiano Ronaldo.


Source: MwanaspotiRead More