VIDEO- Banda, Kichuya waikosa AFCON, Yussuf aula - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

VIDEO- Banda, Kichuya waikosa AFCON, Yussuf aula

Wakati benchi la ufundi la timu ya Taifa, ‘Taifa Stars’ likitoa orodha ya mwisho ya wachezaji 23 watakaoshiriki Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON), kiungo mshambuliaji Shiza Kichuya, beki kiraka Abdi Banda na mshambuliaji Shaban Chilunda ni miongoni mwa nyota tisa walioenguliwa kikosini.


Source: MwanaspotiRead More