Video: Daddy Face ft Christian Bella – Come Back - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Video: Daddy Face ft Christian Bella – Come Back

Msanii wa muziki kutoka nchini Burundi, Daddy Face ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake, ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao Come Back akiwa amemshirikisha mkali wa masauti, Christian Bella.The post Video: Daddy Face ft Christian Bella – Come Back appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More