Video: Diamond amenipigia, kama tuna tatizo labda la kibiashara -Nay wa Mitego - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Video: Diamond amenipigia, kama tuna tatizo labda la kibiashara -Nay wa Mitego

Msanii wa muziki wa Hip Hip Nay wa Mitego baada ya ukimya wa muda mrefu amefunguka kuyazungumzia mahausiano yake na Diamond Platnumz pamoja na mengi kuhusu muziki wake. Rapa huyo ambaye siku ya jana ameachia wimbo wake mpya ‘Mwaka Wa Roho Mbaya ‘ amedai Diamond bado ni mshikaji wake kama wana tatizo basi ni la kibiashara sio mambo mengine.The post Video: Diamond amenipigia, kama tuna tatizo labda la kibiashara -Nay wa Mitego appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More