Video: Diamond atuhumiwa kumuondoa King Teedee kwenye original version ya wimbo ‘The One’, Diamond alishirikishwa na muimbaji huyo wa Namibia - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Video: Diamond atuhumiwa kumuondoa King Teedee kwenye original version ya wimbo ‘The One’, Diamond alishirikishwa na muimbaji huyo wa Namibia

Mashabiki wa muimbaji Diamond kwa sasa wanataka kujua ukweli kuhusiana na wimbo ‘The One’ kufanana na wimbo wa King Teedee ambao Diamond alishirikishwa na muimbaji wa Namibia aitwaye, King Teedee.The One wa Diamond ambao ameuachia asubuhi ya leo tayari umeingia trending namba 1 huku tayari ukiwa umeangaliwa zaidi ya mara 500000 kwa masaa machache.

Kwa upande wa wimbo wa King Teedee , ‘One I Love’ uliachiwa tarehe 2 February 2019 na tayari umeangaliwa mara 381,196  kupitia mtandao wa Youtube.

Wadau wa mambo wanadai huwenda Diamond amekubalina na muimbaji huyo wa Zambia kutumia sehemu yake ya wimbo huo pamoja na beat kwa kuwa imezalishwa na producer wake Lizer Classic. Haya hapa chini ni maoni ya mashabiki hao ambao walikuwa wanataka ufafanuzi.

Namibian Vibes. Diamond why did do this to king teedee…us Namibians we need explanations

Ndayoloka Amakali. Like seriously now… He can’t do this. Anyway, copies are always worse than originals…. I love the or... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More