VIDEO: Diamond na Rayvanny wamewadhalilisha watu wa Mwanza, hatuwezi kuvumilia – BASATA - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

VIDEO: Diamond na Rayvanny wamewadhalilisha watu wa Mwanza, hatuwezi kuvumilia – BASATA

Baada ya kutangaza kuufungia wimbo wa MWANZA ulioimbwa na Rayvanny na Diamond Platnumz, hatimaye Baraza la Sanaa Taifa, BASATA limefunguka na kudai kuwa wasanii hao wamewadhalilisha watu wa Mwanza Kupitia wimbo wao huo walioufungia.Kauli hiyo imetolewa leo Novemba 12, 2018 na Katibu Mtendaji BASATA, Godfrey Mngereza wakati akizungumzia hatua za baraza hilo za kuufungia wimbo wa MWANZA.


 


The post VIDEO: Diamond na Rayvanny wamewadhalilisha watu wa Mwanza, hatuwezi kuvumilia – BASATA appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More