Video: Harmonize wa BSS alikuwa mbovu, alikuwa havumiliki kumsikiliza – Master J - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Video: Harmonize wa BSS alikuwa mbovu, alikuwa havumiliki kumsikiliza – Master J

Mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini Tanzania, Master J ambaye pia ni jaji wa mashindano la Bongo Star Search, amefunguka kwa kuizungumzia video ya muimbaji Harmonize iliyokuwa ikisambaa mtandaoni akionekana kuimba wimbo ‘Maraika’.The post Video: Harmonize wa BSS alikuwa mbovu, alikuwa havumiliki kumsikiliza – Master J appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More