VIDEO:Haruna Niyonzima kwenda India - Jamii na Michezo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

VIDEO:Haruna Niyonzima kwenda India

 Mhariri:Herman Kihwili. IMEWEKWA.FEB.07.2018 SAA 02:55 USIKU
Simba wamezungumza juu ya maandalizi ya kuwavaa Gendamarie ya Djibouti katika mechi ya Kombe la Shirikisho itakauochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Jumapili. Msemaji wa klabu hiyo Haji Manara pia ameelezea hali ya majeruhi wa klabu hiyo Haruna Niyonzima .

BOFYA CHINI KUSIKILIZA 

  ...>...

KWA TAARIFA,BREAKING NEWS,RATIBA PAMOJA NA MATOKEO YA MECHI MBALIMBALI,LIKE PAGE YA FACEBOOK  BONYEZA HAPA (Jamii na Michezo),na instagram- kihwiliupdates... Continue reading ->Source: Jamii na MichezoRead More