Video: Hii ndiyo ndinga ya Fid Q aina ya Jeep - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Video: Hii ndiyo ndinga ya Fid Q aina ya Jeep

Msanii wa muziki wa hip hop, Fareed Kubanda aka Fid Q ameamua kuonyesha gari lake jipya aina ya Jeep Renegade Lift Kit yenye rangi ya ‘Bluu bahari’ kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram.Kupitia mtandao huo Fid Q, ameandika ujumbe unaosomeka ‘ChengaChengaZaKekiYangu’ huku akionyesha gari hilo.


”Weekend njema waungwana, #ChengaChengaZaKekiYangu,” ameandika msanii huyo wa muziki wa hip hop, Fareed Kubanda aka Fid Q.


Siku za hivi karibuni Msanii huyo aliingia kwenye kutoelewana na baadhi ya viongozi wa WCB, hali iliyopelekea mmoja wa viongozi hao kuandika ujumbe kuwa hana gari.


The post Video: Hii ndiyo ndinga ya Fid Q aina ya Jeep appeared first on Bongo5.com.

... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More