Video: Humud aapa kwa uongozi wa KMC ‘Nitaweka wazi kashifa zao, nitakuwa kama Dudu Baya Konki Master, nipo tayari kufa - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Video: Humud aapa kwa uongozi wa KMC ‘Nitaweka wazi kashifa zao, nitakuwa kama Dudu Baya Konki Master, nipo tayari kufa

Aliyekuwa mchezaji wa klabu ya Manispaa ya Kinondoni KMC, Abdulhalim Humud maarufu kama ‘Gaucho’ mara baada ya kukutana na waandishi wa habari na kukanusha taarifa za kuhusika na utovu wa nidhamu ikiwemo kuwasumbua wake wa wachezaji wenzake ndani na nje ya uwanja taarifa zilizotolewa na timu yake hapo jana amewataka mabosi wake wa zamani kuwacha kumchafua na endapo atasikia akichafuliwa tena na yeye hatowafichia kashifa zao kubwa walizonazo.
”Bila kuwa imara mkewangu kwa kipindi hiki hapa pengine ningekuwa tofauti naye, sasa hili ambalo wao walilitaka siyo sahihi,” amesema Humud


Abdulhalim Humud ameongeza kuwa ”Wao sasa hivi wameshanipakazia mimi vitu vyaajabu ambavyo siyo vya ukweli, wamekaa na familia zao wametulia, maisha yao na familia zao yanakwenda mimi naanza kuangaika na familia naanza kupigiwa simu kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki wakizungumza vitu vya tofauti tofauti.”


”Hatakama... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More