Video: Ibrahim Ajibu afunga goli kali ambalo anaweza kopea mkopo benki! - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Video: Ibrahim Ajibu afunga goli kali ambalo anaweza kopea mkopo benki!

Jumapili hii klabu ya Yanga ilikutana na Mbao na kuibuka na ushindi wa magoli mawili. Lakini kitu ambacho ni gumzo kwa sasa ni goli ambalo amefungua Ibrahim Ajibu kutokana na mazingira ambayo alikuwa amekaa.

Goli la pili la Yanga vs Mbao fc


#TanzaniaPremierLeague Ibrahim Ajibu 'Kadabra' ajibu 'tikitaka' ya Zlatan Ibrahimovic 'Kadabra' akiifungia Yanga bao la pili. Kwa mujibu a Baraka Mpenja, hili ndilo bao bora la msimu huu hadi sasa. Je, wewe unasemaje?FT: Yanga SC 2-0 Mbao FC. #AzamSports2 #AzamTVApp #SisiNiSoka #LigiKuuTanzaniaBara #YangaVsMbao #YangaSC #MbaFC


Posted by Azam TV on Sunday, October 7, 2018The post Video: Ibrahim Ajibu afunga goli kali ambalo anaweza kopea mkopo benki! appeared first on Bongo5.com.

... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More