Video: Iddi Mkwera maarufu kama maji machafu kuzipiga na Mrusi jijini Ekaterinburg, aahidi makubwa - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Video: Iddi Mkwera maarufu kama maji machafu kuzipiga na Mrusi jijini Ekaterinburg, aahidi makubwa

Bondia Mtanzania wa ngumi za kulipwa nchini, Iddi Mkwera maarufu kama maji machafu hii leo anatarajia kuingia ulingoni kuzipiga na Makhmud Agaipov nchini Urusi.Mkwera akiwa na Promota Jay Msangi wapo nchini Urusi kwaajili ya pambano hilo la raundi nane uzito wa Kg 66 litakalo fanyika katika jiji la Ekaterinburg.


Akiwa huko Iddi Mkwera -Nyuki ( Maji Machafu ) hupaswi kuyaoga amewaomba Watanzania kumuombea ili aweze kuibuka na ushindi utakaofanya kuiwakilisha vyema Taifa.


The post Video: Iddi Mkwera maarufu kama maji machafu kuzipiga na Mrusi jijini Ekaterinburg, aahidi makubwa appeared first on Bongo5.com.

... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More