VIDEO: Kigogo CCM atumbuliwa, mwingine apewa siku 7 - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

VIDEO: Kigogo CCM atumbuliwa, mwingine apewa siku 7KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM,Dk.Bashiru Alli  amemsimamisha kuendelea na uongozi kqatibu waCCM wilaya ya Chemba  FIKILINI MASOKOLA kutokana na kushindwa kutimiza majukumu yake ikiwa ni pamoja na kushindwa kupeleka taarifa Makao Makuu juu ya Migogoro inayoendelea wilayani humo hivyo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE
Source: Mwanaharakati MzalendoRead More