Video: Kontena za Makonda kaa la moto, hata moja halijauzika katika mnada wa leo - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Video: Kontena za Makonda kaa la moto, hata moja halijauzika katika mnada wa leo

Makontena yaliyoingizwa nchini na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, yameshindwa kuuzwa  Jumamosi hii baada ya wateja ambao walikuwa mnadani hapo kushindwa kufika bei. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imefikia hatua ya kupiga mnada kontena hizo baada ya kudai kodi ya Tsh bilioni 1.2.The post Video: Kontena za Makonda kaa la moto, hata moja halijauzika katika mnada wa leo appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More