VIDEO: Leo ndio leo Simba Day - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

VIDEO: Leo ndio leo Simba Day

Wachezaji wapya wa Simba ni pamoja na kipa wa zamani wa Klabu hiyo, Deogratius Munishi ‘Dida’ aliyekabidhiwa jezi namba 32, beki wa zamani wa Azam FC, Pascal Wawa aliyekabidhiwa jezi namba 27 na mpiga mabao kutoka Rwanda, Meddie Kagere, ambaye atakuwa akivalia jezi namba 14. Wachezaji wengine ni Adam Salamba, Mohamedi Rashid na Marcel Kaheza ambao walisajiliwa mapema pale tu dirisha la usajili lilipofunguliwa.


Source: MwanaspotiRead More