VIDEO: Mabosi Simba wamaliza kila kitu Zambia - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

VIDEO: Mabosi Simba wamaliza kila kitu Zambia

Simba itaendelea kufanya maandalizi yao kwenye Uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wao wa raundi ya kwanza utakaopigwa Zambia kati ya Desemba 13-14 na wa maruadiano utakuwa Desemba 23-24.


Source: MwanaspotiRead More