Video: Majonzi na vilio vyatawala tukio la kumuaga Producer Pancho Latino! - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Video: Majonzi na vilio vyatawala tukio la kumuaga Producer Pancho Latino!

Mastaa na wadau wa sanaa wamejitokeza kuaga mwili wa marehemu Pancho aliyefariki siku mbili zilizopita kwa ajali ya maji huko Mbudya jijini Dar es salaam. Baada ya ibada hii mwili utasafirishwa nyumbani kwao Gairo kwaajili ya mazishi siku ya kesho.The post Video: Majonzi na vilio vyatawala tukio la kumuaga Producer Pancho Latino! appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More