Video: Makubaliano kati ya Wasafi Festival na Alikiba yameenda vizuri – Mkubwa Fella - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Video: Makubaliano kati ya Wasafi Festival na Alikiba yameenda vizuri – Mkubwa Fella

Alhamisi hii Bongo5 imefanya exclusive interview na mmoja kati ya wakurugenzi wa WCB, Mkubwa Fella na kuzungumzia makubaliano ya kimkataba kati ya Alikiba na Wasafi Festival. Fella amesema mpaka sasa mpango wa muimbaji huyo wa RockStar 4000 kutaka kulidhamini tamasha hilo umeenda vizuri na tayari ameshafikia baadhi ya makubaliano.The post Video: Makubaliano kati ya Wasafi Festival na Alikiba yameenda vizuri – Mkubwa Fella appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More