VIDEO: Manula afunguka Tshabalala kusababisha bao Simba - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

VIDEO: Manula afunguka Tshabalala kusababisha bao Simba

Manula na Tshabalala walionekana kutunishiana vifua baada ya beki huyo wa kushoto kujifunga goli kizembe akimnyima nafasi kipa huyo ambaye alionekana akienda kuudaka kirahisi mpira na kuipa Simba kipigo cha tatu mfululizo kutoka kwa timu hiyo ya Kagera.


Source: MwanaspotiRead More