Video: Masau Bwire akana yeye sio Simba, akerwa na bao tano alizofungwa Mnyama ‘Mashabiki watimu hizi mmoja, akifungwa ndiyo furaha yao’ - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Video: Masau Bwire akana yeye sio Simba, akerwa na bao tano alizofungwa Mnyama ‘Mashabiki watimu hizi mmoja, akifungwa ndiyo furaha yao’

Msemaji wa klabu ya Ruvu Shooting, Masau Bwire amewatakaWatanzania kujitokeza kwa wingi kuisapoti Simba hapo kesho kwenye mchezo wa klabu bingwa barani Afrika dhidi ya Al Ahly. Mbali na kuonyesha utaifa wake wa kuisapoti miamba hiyo ya soka yenye maskani yake mitaa ya Karia Koo lakini ameonyesha kukerwa na matokeo ya mabao 5 – 0 waliyofungwa kwenye mechi zake mbili zilizopita.The post Video: Masau Bwire akana yeye sio Simba, akerwa na bao tano alizofungwa Mnyama ‘Mashabiki watimu hizi mmoja, akifungwa ndiyo furaha yao’ appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More