VIDEO: Mo Dewji awashukia wachezaji wavivu Simba - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

VIDEO: Mo Dewji awashukia wachezaji wavivu Simba

"Tumekubaliana kwamba wale wachezaji wasio na nidhamu na
wasiojituma basi wajiandae kuondoka lakini kama wataamua
kujitolea na kuvuja jasho lao kwa ajili ya Simba tutaendelea
nao," alisema Dewji.



Source: MwanaspotiRead More