Video: Mrisho Mpoto afunguka kujiunga CCM kisa njaa “Mimi nina hela kuliko msanii yeyote” - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Video: Mrisho Mpoto afunguka kujiunga CCM kisa njaa “Mimi nina hela kuliko msanii yeyote”

Msanii wa Muziki, Mrisho Mpoto amefunguka kuzungumzia uamuzi wake wa kuchukua kadi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya watu kudai kwamba amehamia huko ili kutafuta pesa.The post Video: Mrisho Mpoto afunguka kujiunga CCM kisa njaa “Mimi nina hela kuliko msanii yeyote” appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More