VIDEO: Msuva aipa ujanja Simba - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

VIDEO: Msuva aipa ujanja Simba

Msuva ambaye timu yake Difaa El Jadidi ya Morocco iliitoa AS Vita msimu uliopita katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, alisema Mundele anayevaa jezi namba 10 ni aina ya mchezaji mwenye kasi na uwezo mkubwa wa kufunga mabao hivyo anapaswa kudhibitiwa kikamilifu.s


Source: MwanaspotiRead More