Video: Mwakinyo amevunja rekodi yangu ya miaka 10 – Francis Cheka - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Video: Mwakinyo amevunja rekodi yangu ya miaka 10 – Francis Cheka

Bondia wa uzito wa juu duniani, Francis Cheka amesema kuwa Hassan Mwakinyo amevunja rekodi yake kwa kushika nafasi ya 16 ulimwenguni ambapo kwa upande wake aliwahi kuwa namba 17. Mwakinyo amepanda kwenye nafasi hiyo baada ya kumpiga bondia wa Uingereza.The post Video: Mwakinyo amevunja rekodi yangu ya miaka 10 – Francis Cheka appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More